Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Malindi na Shaba Wazee wa Dago Wameshinda 3--0.

Mchezaji wa timu ya Malindi akimpata beki wa timu Shaba wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan, Timu ya Shaba imeshinda 3--0. 
Wachezaji wa timu ya Malindi na Shaba wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya Shaba imeshinda 3--0.
Mashabiki wa timu ya Shaba wakishangilia timu yao wakati ikipambana na timu ya Malindi. mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan.
                              Wachezaji wa timu ya Malindi na Shaba wakiwania mpira.

Kiongozi wa timu ya Malindi akiwawalamikia Waamuzi kwa mchezo wao wa kupendelea upande mmoja wakati wa mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan. Timu ya Shaba Wazee wa Dago wameshinda bao 3--0.
Mshambuliaji wa timu ya Malindi akipiga mpira wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan.
Viongozi na Wachezaji wa timu ya Malindi wakiwa hawaamini macho yao baada ya kukubali kipigo cha mabao 3--0 kutoka kwa timu ya Shaba mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan.
                  Mshambuliaji wa timu ya Malindi akiwapita mabeki wa timu ya Shaba.



Wachezaji wa timu ya Shaba na Malindi wakikimbilia mpira wakati wa mchezo wao wa kukamilisha ratiba ya Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar timu ya Shaba imeshinda 
3--0

Mashabiki wa timu ya Shaba Wazee wa Dago wakiishangilia timu yao wakiwa katika jukwaa la Urusi uwanja wa Amaan Zanzibar. ikiwa timu yao ikiwa mbele kwa mabao 3--0.
Kiongozi wa timu ya Malindi Kau akiwa na bumbuwazi baada ya timu yake kukubali kipigo cha mabao 3--0 dhidi ya timu ya Shaba Wazee wa Dago.
Wachezaji wa timu ya Shaba wakishangilia bao lao la tatu na la ushindi dhidi ya timu ya Malindi mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.