Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malta KMKM na Hardrock. KMKM Imeshinda 3--0.

Mchezaji wa timu ya Hard Rock Maiko Wilson akiwa na mpira akijaribu kumpita beki wa timu ya KMKM Tizzo Charles wakati wa mchezo wao wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa amaan Zanzibar timu ya Hard Rock imeshinda 3--0.
Beki wa timu ya KMKM Makame Nuhu akiondoa mpira galini kwao huku mchezaji wa timu ya Hard Rock akijiandaa kumzuiya. 




 Mchezaji wa timu ya Hard Rock Richard Lyangile, akiwapita wachezaji wa timu ya KMKM.
 Mchezaji wa timu ya Hard Rock kushoto Emanuel Martin na beki wa timu ya KMKM Iddi Mgeni wakiwania mpira huo.
Mchezaji wa timu ya Hardrock Maiko Wilson, akiondoa mpira galino kwake huku mchezaji wa timu ya KMKM Makame Nuhu, akijaribu kumzuiya, wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa amaan timu hiyo ya Hardrock imeshinda kwa mabao 3--0. dhidi ya ti mu ya KMKM Mabingwa watetezi wa ligi hiyo mwaka 2013/2014.

1 comment:

  1. Gozi limesukumwa bila ya watanzamaji? Au ndio hamasa ya ligi yetu imepotea na kushabikia ligi za UK na SPN

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.