Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya Basketi Ball Kanda ya Zanzibar Africa Magic na Muembetanga

 
Mchezaji wa Timu ya Muembetanga na Africa Magic wakiwania mpira golini kwa timu ya Muembetanga, wakati wa mchezo wao wa ligi kuu kanda ya Unguja mchezo uliofanyika viwanja wa maisara timu ya Africa Magic imeshinda kwa vikapu 83-71.
Mchezaji wa muembetanga akifungia timu yake. wakati wa mchezo wao wa ligi kuu kanda ya unguja. katika mchezo huo timu ya Africa Magic imeshinda kwa vikapu 83-71. 








Mchezaji wa timu ya Africa Magic akiwa na mpira huku mchezaji wa timu ya basketio ya Muembetanga akijaribu kumzuiya wakati wa mchezo wa ligi kuu ya Basketi Ball Kanda ya Unguja mchezo uliofanyika uwa nja wa maisara timu ya Africa Magic imeshinda kwa vikapu 83-71.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.