Habari za Punde

Mchezo wa Shaba na Kipanga Kuamua wa Kushuka Daraja

Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Mhe Said Ali Mbarouk akiongozana na Makamu Mwenyekiti wa ZFA Pemba Ndg Ali Mohammed wakienda kukagua timu za Shaba na Kipanga ikiwa ni mchezo wao wa kuamua nani anashuka daraja msimu huu, Hatimai timu ya Shaba imeteremka daraja kwa kukubali kipigo cha Bao 1--0 Dhidi ya timu ya Kipanga mchezo uliofanyika uwanja wa Amaani kuhitimisha Ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malt.Timu ya Shaba ilihitaji droo ili kubaki.
Waziri Mbarouk akisalimiana na wachezaji wa timu ya Shaba Wazee wa Dago, kabla ya mchezo wao na timu ya Kipanga uliofanyika uwanja wa Amaan Timu ya Kipanga imeshinda bao 1--0

Waziri Mbarouk akisalimiana na wachezaji wa timu ya Kipanga, kabla ya mchezo wao na timu ya Shaba Wazee wa Dago,uliofanyika uwanja wa Amaan Timu ya Kipanga imeshinda bao 1--0












No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.