Marikiti Kuu ya Zanzibar ikionekana wakati wa mchana ikitowa huduma kwa Wananchi wa Zenj kwa mahitaji mbalimbali kwa ajili ya wakaazi wa Zanzibar marikiti hiyo ikiwa na historia kubwa kwa wageni wanaotembelea Zanzibar hufika katika marikiti hiyo na kupata historia yake ikiwa ni moja ya vivutio vya Utalii katika Kisiwa vja Zanzibar.
TACA YAIOMBA SERIKALI KUFANYIA MABORESHO SHERIA YA UDALALI
-
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
CHAMA Cha Wanadishaji Tanzania TACA kimeiomba serikali kufanyia maboresho
Sheria inayowaongoza kwa lengo la kusaidia k...
8 hours ago
No comments:
Post a Comment