Habari za Punde

Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jumuiya ya Wazanzibar wa Scandinavia.

Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazanzibari Scandinavia ndugu Idarus  A Sharif akifunguwa mkutano wa mwaka wa Jumuiya hiyo na kuhudhuriwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu Mhe Salum Maulid nchini Sweden.  
Mjumbe maalum ndugu Mussa Baucha  wa Jumuiya ya GoZanzibar (German) akitoa maeleze  kuhusu utekelezaji wa miradi na mikakati mbali ya  jumuiya hiyo kwa zanzibar
                       Bw.Jakob Msekwa  Ofisa wa Ubalozi wa Tanzania Sweden
Mweyekiti wa Zandias akipokea zawadi maalum kutoka kwa  Katibu mkuu Ofisi ya Rais,Ikulu na Utawala Bora Zanzibar, Mhe Salum Maulid 
Mjumbe maalum wa GoZanzibar Germany akipokea zawadi  maalum kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu Zanziabar. Mhe Salum Maulid, wakati wa ziara yake nchini Sweden.
Mratabu wa Diaspora,Ofisi ya Rais Ikulu na Ushirikiano  wa Kimataifa  Zanzibar Ndugu Hassan Hafidh akisikiiza kwa makani maoni ya  wana Diaspora Scandinavia



                 Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu Mhe Salum Maulid akiwa na Wana Diaspora  Danamrk

Picha ya pamoja ya wana Jumuiya Scandinavia na Ujumbe  kutoka Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar na Ofisa wa Ubalozi wa Tanzania  Sweden.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.