Habari za Punde

Uzinduzi wa Ripoti ya Haki za Binadamu

 Jaji mkuu wa Zanzibar, Omar Othman Makungu akitoa hotuba kwenye uzinduzi wa ripoti hiyo jana. Sherehe ya uzinduzi wa Ripoti ya Haki za Binadamu Tanzania kwa mwaka 2014 iliyofanyika kwenye uwanja wa Kituo cha Huduma za Sheria, Migombani mjini Zanzibar jana.
Mgeni Rasmi Jaji mkuu wa zanzibar, Omar Othman Makungu.

Jaji mkuu wa Zanzibar, Omar Othman Makungu akionyesha vitabu vya Ripoti ya Haki za Binadamu Tanzania kwa mwaka 2014 iliyofanyika kwenye uwanja wa Kituo cha Huduma za Sheria Migombani mjini Zanzibar jana.
Picha na Martin Kabemba.

2 comments:

  1. pana haki za binaadamu hapo zanzibar? msituzinguwe

    ReplyDelete
  2. Naam unoficha utambulisho waka. juhudi ya Mapinduzi kufanyika Zanzibar imekwendana na uhuru kutokana na Haki za binadamu kuwepo. Zanzibar ilikuwa taifa la kwanza kusign mkataba wa kuondoa Utumwa na pia ni chachu katika siasa ya afrika mashariki ile kuleta na kushindikiza uuru barani Afrika

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.