Habari za Punde

Zanlink Basketi Ball Kanda ya Unguja Kati ya Nyuki na Rangers. Timu ya Rangers Imeshinda Vikapu 64-46.

 
Mchezaji wa timu ya Nyuki akiwa na mpira akiandaa kutowa pasi kwa mchezaji mwezake huku mchezaji wa timu ya Rangers akijiandaa kumzuiya , wakati wa mchezo wa Zanlink Basketi Ball Kanda ya Unguja zinazofanyika katika viwanja vya maisara Zanzibar, Timu ya Rangers imeshinda kwa Vikapu 64-46.
Wapenzi wa mchezo wa mpira wa Kikapu Zanzibar wakifuatilia Ligi ya Zanlink Basket Ball Kanda ya Unguja  zinazofanyika katika viwanja vya maisara.
Mchezaji wa timu ya Nyuki akimpita mchezaji wa timu ya Rangers wakati wa mchezo wao wa Ligi ya Zanlink Basket Ball Kanda ya Unguja.
Mchezaji wa timu ya Rangers  akiwa na mpira huku mchezaji wa timu ya Nyuki akijiandaa kumzuiya katika mchezo hao, uliofanyika uwanja wa maisara timu ya Rangers imeshinda kwa Vikapu 64—46.
                  Mchezaji wa timu ya Nyuki akiwa na mpira akijiandaa kumpita mchezaji wa timu ya Rangers 
            Mchezaji wa timu ya Nyuki akiwa na mpira akijiandaa kumpita mchezaji wa timu ya Rangers  

Mchezaji wa timu ya nyuki akijaribu kumpita mchezaji wa timu ya Rangers wakati wa mchezo wao wa Ligi ya Zanlink Basketi Ball Kanda ya Unguja michezo inayofanyika katika uwanja wa maisara. Timu ya Rangers imeshinda kwa Vikapu 64-46.
Mchezaji wa timu ya Rangers akipiga bao wakati wa mchezo wao na timu ya Nyuki. Mchezo uliofanyika katika uwanja wa maisara Zanzibar.
                Mchezaji wa timu ya Nyuki akijaribu kumpita mchezaji wa timu ya Rangers .
Mchezaji  wa timu ya Nyuki akimpita  mchezaji wa timu ya Rangers  wakati wa mchezo wao wa ligi ya Zanlink Basketi Ball zinazofanyika katika viwanja vya maisara timu ya Rangers  imeshinda kwa vikapu 64—46.





No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.