Habari za Punde

Balozi Seif ashiriki mazishi ya Marehemu Bi Fatma, Mama mzazi wa Mkuu wa Mkoa wa Kusini , Pemba

 Marehemu Bibi Fatma Moh’d Othman Mjumbe wa Bodi ya Utumishi Serikalini ambae pia ni Mwenyekiti wa Wazazi Wilaya ya Mkoani Pemba aliyefariki dunia Hospitali ya Muhimbili na kuzikwa Kijijini kwao Kiwani Mkoa wa Kusini Pemba.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akijumuika pamoja na waumini wa Dini ya Kiislamu katika kumsalia Bibi Fatma Moh’d Othman aliyefariki Dar es salaam juzi na kuzikwa Kijijini kwao Kiwani Wilaya na Mkoani Pemba.
 Balozi Seif pamoja na baadhi ya viongozi wakiwasili makaburini kwa ajili ya Mazishi ya Bibi Fatma Moh’d Othman
hapo Kiwani Mkoa wa Kusini Pemba.
 Balozi Seif akijumuika pamoja na waumini na wananchi katika kuufukia mwili wa Marehemu Bibi Famta Moh’d Othman katika makaburi ya familia yao hapo Kiwani. wili wa Marehemu Bibi Fatma ukichukuliwa na wananchi mbali mbali tayari kuupeleka makaburini mahali alipotengewa maalum kwa kuzikwa
Mwili wa Marehemu Bibi Fatma ukichukuliwa na wananchi mbali mbali tayari kuupeleka makaburini mahali alipotengewa maalum kwa kuzikwa



  Baadhi ya Ndugu na Dada na familia ya  Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba waliopewa mkono wa pole na Balozi Seif wakati alipokwenda kuwahani
Balozi Seif akimuaga Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pembe Mh. Mwanajuma Majid baada ya kuipa pole familia yake kufuatia kifo cha Mama yao Mazazi Bibi Fatma Moh’d Othman. Picha na – OMPR – ZNZ.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.