Habari za Punde

Tamwa yaendesha mafunzo ya Uongozi kwa wanasiasa wanawake Pemba

 Muwezeshaji wa Mafunzo ya Akinamama na Uongozi yanayoendeshwa na TAMWA, Ali Nassor Sultan, akitowa mafunzo kwa Wanasiasa Wanawake huko katika ukumbi wa Hifadhi Chake Chake - Pemba.
 Washiriki wa mafunzo ya Wanawake na Uongozi yanayoendeshwa na TAMWA, wakisikiliza kwa makini mafunzo hayo kutoka kwa Wakufunzi wao.
  Muwezeshaji wa Mafunzo ya Akinamama na Uongozi yanayoendeshwa na TAMWA, Ali Nassor Sultan, akitowa mafunzo kwa Wanasiasa Wanawake huko katika ukumbi wa Hifadhi Chake Chake -Pemba.
Muwezeshaji kutoka  wa Mafunzo ya Wanawake na Uongozi, Ali Mbarouk Omar, akitowa mafunzo juu ya rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa Washiriki wa mafunzo hayo huko katika ukumbi wa Skuli
ya Sekondari Madungu .

Picha na Bakar Mussa-PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.