Habari za Punde

Dk Shein Aendelea na Ziara Yake Nchini Ujerumani.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Mstahiki Meya wa Mji wa Wurzburg  Mhe,Christian Schuehadt (aliyenyoosha Mkono) wakati alipotembelea katika Ofisi yake    na ujumbe wake katika ziara ya kikazi nchini Ujerumani akiwemo na Mama Mwanamwema Shein
Baadhi ya Watendaji wa Serikali ya Mapinduzi ya Mapinduzi wakimuangalia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitia saini kitabu cha “Golden Book” katika    Ofisi ya Mstahiki Meya wa Mji wa Wurzburg  Mhe,Christian Schuehadt  wakati alipotembelea  akiwa na ujumbe wake akiwa katika ziara ya kikazi nchini Ujerumani,[Picha na Ramadhan Othman.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.