Habari za Punde

Dk Shein atembelea mji wa Wurzburg, Ujerumani akutana meya


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake wakiwa katika Ofisi ya Mstahiki Meya wa Mji wa Wurzburg  wakati walipotembelea  kupata maelezo mbali mbali wakiwa katika ziara ya kikazi nchini Ujerumani,[Picha na Ramadhan Othman.] 
 Baadhi ya Watendaji wa Serikali ya Mapinduzi ya Mapinduzi wakimuangalia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitia saini kitabu cha “Golden Book” katika    Ofisi ya Mstahiki Meya wa Mji wa Wurzburg  Mhe,Christian Schuehadt  wakati alipotembelea  akiwa na ujumbe wake akiwa katika ziara ya kikazi nchini Ujerumani,[Picha na Ramadhan Othman.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitia saini kitabu cha Golden Book katika Ofisi ya Mstahiki Meya wa Mji wa Wurzburg  Mhe,Christian Schuehadt  wakati alipotembelea  akiwa na ujumbe wake akiwa katika ziara ya kikazi nchini Ujerumani wakiwepo na Viongozi wengine (kutoka kulia) Mama Mwanamwema Shein, Meya wa Mji wa Wurzburg Mhe, Christian Schuehadt,Balozi Phillip Marmo na Dr.Adolf Bauer Naibu Meya ,[Picha na Ramadhan Othman.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Mstahiki Meya wa Mji wa Wurzburg  Mhe,Christian Schuehadt (aliyenyoosha Mkono) wakati alipotembelea katika Ofisi yake    na ujumbe wake katika ziara ya kikazi nchini Ujerumani akiwemo na Mama Mwanamwema Shein,[Picha na Ramadhan Othman.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Meya wa Mji wa Wurzburg  Mhe,Christian Schuehadt (wa pili kulia) a lipokuwa akiangalia  Mji wa Zamani  ulivyoharibika kwa Mabomu katika Vita vya pili vya Dunia wakati alipotembelea Ofisini kwa Meya akiwa na ujumbe wake (wa pili kushoto) Mama Mwanamwema Shein na Balozi wa Tanzania Ujerumani Mhe,Philip Marmo akiwapo na Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Nje Zanzibar Balozi Silima Kombo  Haji (kulia),[Picha na Ramadhan Othman.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akifuatana na Mstahiki Meya wa Mji wa Wurzburg  Mhe,Christian Schuehadt baada ya kutembelea katika Ofisi ya Mstahiki Meya akiwa  na ujumbe wake katika ziara ya kikazi nchini Ujerumani (katikati)  Mama Mwanamwema Shein,[Picha na Ramadhan Othman.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Mstahiki Meya wa Mji wa Wurzburg  Mhe,Christian Schuehadt baada ya  kutembelea katika Ofisi ya  Meya   na ujumbe wake katika ziara ya kikazi nchini Ujerumani, na Ramadhan Othman.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.