Habari za Punde

Semina ya usafiri wa barabarani kwa wajumbe wa BLW

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiifungua Semina ya siku moja ya Usafiri Barabarani kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi iliyofanyika kwenye ukumbi wa juu wa Baraza la Wawakilishi Mbweni.
 Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar Mh. Juma Duni Haji akitoa maelezo kwenye Semina ya Usafiri wa Barabarani kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kabla ya ufunguzi wa Senmina hiyo.
 Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mh. Pandu Ameir Kificho ambae ndie Mwenyekiti wa  Semina ya Usafiri wa Barabarani akitoa maelezo ya kumkaribisha Mgeni rasmi  Balozi Seif kufungua Semina hiyo.

 Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi pamoja na wadau wa usafiri walioshioriki semina ya usafiri wa bara barani wakifuatilia Horuba ya Mgeni rasmi Balozi Seif hayupa Pichani.

 Mkurugenzi wa Idara ya Usafiri na Leseni Nd. Suleiman Kirobo akitoa Mada kwenye Semina ya Usafiri wa Barabarani iliyoshirikisha wajumbe wa Baraza la Wawakilishi pamoja na wadau wa sekta ya usafiri.
Mkuu wa Kikosi cha UsalamaBara barani Kamishna Msaidizi wa Polisi { ACP } Nassor Ali Moh’d akitoa ufafanuzi wa ajali za barabarani zinazoonekana kuongezeka kutokana na matumizi mabovu ya bara bara kwenye semina ya usafiri wa bara barani.

Picha na – OMPR – ZNZ.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.