Habari za Punde

Ufungaji umeme mkubwa kiwanja cha kufurahisha watoto Tibirinzi Pemba

Fundi mkuu wa Kampuni ya Umeme ya Molel kutoka Dar-es-Salaam , akionesha ugawaji wa umeme utakaofanyika ndani ya kiwanja cha watoto Pemba.

 Mafundi wa Umeme wakiunganisha Umeme kutoka kwenye mashine za kuendeshea mashine Kiwanjani Tibirinzi kwenda kwenye Transfoma.


Fundi mkuu wa umeme kutoka Kampuni ya Malel ya Dar -es-Salaam, anaeunganisha Umeme katika kiwanja cha Watoto Tibirinzi akitowa maelezo kwa mwanadishi wa Habari huko Pemba.

Picha na bakar Mussa -Pemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.