Habari za Punde

Hamjad Ndani ya Sweden Katika Maonesho ya Picha Ikiwa ni Moja ya Kampeni ya Kupata Ridhaa


Wananchi wa Sweden wakiwa katika maonesho ya picha mbalimbali Nchini Sweden katika moja ya jengo la nchi hiyo ikiwemo picha ya Mgombea wa Chumbuni Zanzibar, Kamanda wa UVCCM Jimbo la Chumbuni na Mgombea Nafasi ya Ubunge Chumbuni Mhe Ussi Salum Pondeza HAMJAD.
Raia wa Sweden akisoma gazeti la Nchi hiyo likiwa na piocha ya mgombea wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Ussi Salum Pondeza Hamjad wakati wa maonesho ya picha mbalimbali nchini humo 

2 comments:

  1. blogu yako inapoteza heshima kwa kuwekwa kampeni za kijinga za picha za photoshops

    ReplyDelete
  2. Ndug Muandishi.
    Mimi ni mdau mkubwa wa blog hii, lakini naona fani hii kama umeanza kupoteza malendo kwa utashi wa mtu fulani, nilitegemea ujinga huu ningeukuta kwenye blog kama za udaku na n.k.
    Jaribu kurekebisha baadhi ya mambo ambayo hayana tija kwa msomaji kwani wanaoingia humu kusoma ni watu wenye uelewa baina na mbivu na mbichi.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.