Habari za Punde

CUF wakutana kupanga mikakati ya kampeni za uchaguzi

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na viongozi wa CUF pamoja na wagombea uwakilishi na ubunge wa Chama hicho Wilaya za Unguja katika ukumbi wa majid Kiembe Samaki.
 Viongozi wa CUF pamoja na wagombea uwakilishi na ubunge  wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad wakati akihutubia kwenye ukumbi wa Majid Kiembesamaki.
 Viongozi wa CUF pamoja na wagombea uwakilishi na ubunge  wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad wakati akihutubia kwenye ukumbi wa Majid Kiembesamaki.
 Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Ismail Jussa Ladhu, akinukuu baadhi ya vifungu vya katiba ya chama hicho vilivyoipa uhalali  Kamati tendaji ya chama hicho Taifa kufanya uteuzi ya wagombea katika majimbo yaliyoongezwa kulingana na hali halisi ilivyokuwa.

 Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akikabidhi vifaa vya michezo kwa viongozi wa wilaya na wagombea wa majimbo kama vitendea kazi vya kampeni, ambapo kila jimbo lilikabidhiwa seti 40 za jezi na mipira 120. (Picha na Salmin Said, OMKR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.