Habari za Punde

Dk. Shein Azindua Uwanja wa Basketi Wete na Kukadidhi Vifaa vya Michezo

Vijana Wadogo wakionesha mchezo wa Kikundi cha Karati cha Gonju Wete Pemba wakionesha jinsi ya mchezo huo unavyochezwa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein.wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa kwa wanamichezo mbalimbali kisiwani Pemba, hafla iliofanyika katika uwanja mpya wa Basketi Polisi Mesi Wete.
Watoto wakiwa na ukakamavu wakati wakionesha jinsi ya kucheza karati wakati wa hafla ya uzinduzi wa uwanja wa kisasa wa mchezo wa mpira wa kikapu Wete Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimsalimia Mtoto Rauthati Rashid kwa kuonesha mchezo wa karati katika viwanja vya basketi Polisi Mesi Wete Pemba.
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Zanzibar Sharifa Khamis akitowa maelezo ya Vikundi cha michezo mbalimbali wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo Vyama 13 ya michezo Pemba  
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Mhe Said Ali Mbarouk akizungumza na Wanamichezo kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar Dk Shein, kuzindua Uwanja wa Kisasa wa Mchezo wa Baskti Ball na kukabidhi Vifaa vya michezo kwa Vyama 13 vya michezo mbalimbali  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wanamichezo kisiwani Pemba katika viwanja vya mchezo wa Baskti Ball Mesi Polisi Wete na kuzindua uwanja huo na kukabidhi vifaa vya kisasa kwa Wanamichezo Pemba.
Naibu Waziri wa Habari Zanzibar Mhe Bihindi Hamad Waziri wa Uwezeshaji Mhe Haroun Ali Suleiman na Waziri wa Habati Mhe Said Ali Mbarouk wakimsikiliza Rais wa Zanzibar wakati akizungumza na Wanamichezo wakati wa hafla wa kukabidhi vifaa na kuzindua uwanja mpya wa mchezo wa mpira wa Basketi Ball Wete Pemba 




Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Kiongozi wa Mchezo wa Resi za Baskeli Pemba Ndg Masoud Omar vifaa vya mchezo huo pamoja na baskeli haipo pichani. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Kiongozi wa Mchezo wa Mpira wa Bidmilton Ndg Ali Mwinyi Faki 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Kiongozi wa Mchezo wa Kareti Ndg Halfan Suleiman.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Kiongozi wa Timu ya Mpira wa Mikono Volball Ndg Omar Rajab Mwinyi vifaa vya mchezo huo kwa ajili ya timu yao 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohameid Shein, akisalimiana na Vijana wadogo wa mchezo wa basketi ball wakati wa hafla ya kuzindua uwanja wao na kuwakabidhi vifaa vya michezo vijana hao.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na wanamichezo katika uwanja wa basketi Polisi mesi wete baada ya kuwakabidhi vifaa vya michezo mbalimbali kisiwani Pemba 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Wanamichezo mbalimbali kisiwani Pemba baada ya kubidhi Vifaa vya Michezo na kuzindua uwanja mpya wa mchezo wa Baskti ball Polisi Mesi Wete Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Wanamichezo mbalimbali kisiwani Pemba baada ya kubidhi Vifaa vya Michezo na kuzindua uwanja mpya wa mchezo wa Baskti ball Polisi Mesi Wete Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Mhe Said Ali Mbarouk wakati akiondoka katika viwanja vya Basketi Polisi Mesi baada ya kukabidhidhi Vifaa vya Michezo kw Wamamichezo wa Mbalimbali kushoto Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Zanzibar Sharifa Khamis. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.