Katibu mkuu wa Jumuiya ya watu wasiona Zanzibar, ZANAB, Adil Moh'd Ali, akizungumza na Waandishi wa Habari na baadhi ya wazazi wa watoto wenye ulemavu wa uoni Kisiwani Pemba, katika mafunzo ya kuwajengea Uelewa juu ya sheria ya Walemavu wa Uoni na Ualbino.
Baadhi ya Washiriki wa mafunzo hayo ya kuwajengea Uwezo Waandishi wa Habari juu ya Uelewa wa Sheria za Walemavu na Ualbino wakimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Watu wasioona Zanzibar , Adil Moh'd Ali, yaliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Benjamin Mkapa Wete -Pemba.
Picha na Bakar Mussa-Pemba.
No comments:
Post a Comment