Habari za Punde

Ratiba ya mgao wa umeme kuanzia 31 Agosti 15 hadi 20 Septemba 15

2:00 ASUBUHI -7:00 ASUBUHI                           KASKAZINI MPYA KASKAZINI KONGWE
KUSINI KONGWE KUSINI MPYA  
SAATENI 5 COTEX
MPENDAE SAATENI 6
FUMBA MPYA FUMBA KONGWE
7:00 MCHANA - 12:00 JIONI                         KASKAZINI KONGWE KASKAZINI MPYA
KUSINI MPYA   KUSINI KONGWE
COTEX                   SAATENI 5
SAATENI 6          MPENDAE
FUMBA KONGWE  FUMBA MPYA
NJIA  MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
FUMBA MPYA                                                       Mpendae, Jang'ombe Urusi, Kidongochekundu, Sogea, Mikunguni, Kibandahatari na Jang'ombe Skuli
Mombasa, Migombani, Kiembesamaki, Mazizini, Mbweni, Chukwani na Uwanja wa Ndege
KUSINI MPYA Kilimahewa, Msikiti Ngamia, Welezo, Mwera Regezamwendo, Mwera Polisi, Mwera Kwakozi, Ubago, Dunga hadi Bambi
Tunguu, Kibele, Pete, Muyuni, Kizimkazi, Mtende, Makunduchi, Paje, Jambiani, Bwejuu, Michamvi hadi Ukongoroni
KASKAZINI KONGWE Mtoni Kidatu, Mwanyanya Jeshini, Bububu, Kidichi, Bububu Jeshini, Chuini, Kama, Mfenesini, Selemu, Bumbwisudi, Kiboje, Michungwa miwili, Bumbwini, Mahonda, Donge, Mkokotoni, Kidoti hadi Nungwi
KASKAZINI MPYA Mahonda, Kinyasini, Mkwajuni, Kilombero, Mchangani Shamba, Kiwengwa, Pwani Mchangani hadi Matemwe
Mwanyanya, Dole, Kianga, Kinumoshi, Kibweni, Beit El Raas, Mtoni Branch hadi Kambi ya Jeshi Mtoni
KUSINI KONGWE Garagara, Miembesaba, Mwera, Fuoni, Dunga Kiembeni, Ndijani, Ufufuma, Chwaka, Uroa hadi Pongwe
COTEX Mabanda ya Ng'ombe, Mwembemakumbi, Kwaalamsha, Kariakoo, Miembeni, Michenzani, Kikwajuni na Kilimani
MPENDAE Darajabovu, Uwanja wa Amaan, Sebleni (Kwa Wazee), Kwerekwe Sokoni, Meli Nne, Kijito Upele, Kwarara, Mshelishelini, Nyarugusu, Mambosasa na Fuoni Chunga
SAATENI 5 Saateni, Mkele, Makadara, Misufini, Mwembetanga, Kariakoo, Bembela na Hospitali ya Mnazi Mmoja
SAATENI 6 Mlandege, Bwawani, Darajani, Malindi, Kiponda, Forodhani, Shangani na Mkunazini
FUMBA KONGWE Magogoni, Mwanakwerekwe Ijitimai ya Zamani, Tomondo, Kisauni, Dimani, Shakani, Kisakasaka hadi Fumba


1 comment:

  1. Jamani mbona mnatudanganya? hebu twambieni ukweli. Hivi karibuni Meneja Mkuu wa ZECO alitutangazia na kuwambia wananchi wa Unguja kuwa mgao wa umeme umemaliza, sasa tunasikia unaanza tena wiki ijayo kama ilivyokuwa kwa siku za jnne na Alkhamis. Au ndio mnatudanganya tusione kuwa kuna mgao au ndio kampeni zenu CCM.
    Eleweni kuwaa ukweli haufichiki, kama hayo yananyoandikwa na magazetu kuwa Tanesco mitambo yao imekufa inaonekana kunaa ukweli, kwa hivyo tatizo sio Mitambo ya Gesi bali Umeme ndio hautoshi. msione haya kusema ukweli waambieni watu ukweli.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.