MJUMBE wa kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe: Balozi Seif
Ali Iddi, akizungumza na wanachama na wapenzi wa CCM huko Mitambuuni Mtambwe
Wilaya ya Wete Mkoa wa kaskazini Pemba, mara baada ya kuizindua maskani ya
Vumilia ya Vijana waliohama CUF na kujiunga na CCM.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
KARMA YA UONGOZI: SOMO KWA WANAOHAMASISHA MAANDAMANO
-
Na Mwandishi Wetu
NAJIULIZA maswali ya msingi, kama raia mwenye tafakuri na uzoefu katika
uongozi: je, wanaohamasisha maandamano ni wapinzani, wanaharakat...
5 hours ago

No comments:
Post a Comment