BAADHI ya washiriki wa semina ya kuzitambua
sheria zinazokinzana na utawala bora, wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya
kurekebisha sheria Zanzibar ‘ZLRC’ Jaji Mshibe Ali Bakar, iliofanyika Wete
Pemba, kwa kushirikiana na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ‘ZLSC’ tawi la
Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MWENYEKITI wa Tume ya kurekebisha sheria Zanzibar ‘ZLRC’
Jaji Mshibe Ali Bakar, akitofa ufafanuzi wa baadhi ya sheria zinazokinzana na
utawala bora, kwenye semina ilioandaliwa na tume hiyo na Kituo cha Huduma za
Sheria Zanzibar’ ZLSC’ tawi la Pemba, iliofanyika Wete Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
AFISA wa Jeshi la Polisi wilaya ya Micheweni
Pemba Fakih Yussuf, akiomba ufafanuzi wa dhana ya upelelezi kwanza, kwenye
semina ya kueleza sheria zinazokinza na utawala bora, ilioandaliwa na Tume ya
kurekebisha sheria Zanzibar ‘ZLRC’ kwa kushirikiana na Kituo cha Huduma za
Sheria Zanzibar ‘ZLSC’ tawi la Pemba, (Picha
na Haji Nassor, Pemba)
No comments:
Post a Comment