Habari za Punde

ZEC yafanya kongamano la Vijana na uchaguzi wa Amani

DSC02369Mkurugenzi wa Uchaguzi Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar Ndg. Salum Kassim Ali akifungua kongamano la vijana na Uchaguzi wa amani liloendeshwa na shirika la maendeleo la umoja wa mataifa UNDP kwa kushirikiana na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar tarehe 02/09/2015 Ukumbi wa salama Hoteli ya bwawani Zanzibar
DSC02447
Wasanii wa mziki wa kizazi kipya wakijadiliana kwa pamoja kuhusu masuala ya kuongeza ujuzi na umuhimu wa vijana katika kushiriki Uchaguzi,majadiliano hayo yalifanyika katika kongamano la Vijana na Uchaguzi wa Amani ambalo limeendeshwa tarehe 02/09/2015 ukumbi wa hoteli ya Bwawani Mjini Zanzibar.
DSC02446
Wanamuziki wa kizazi kipya wakitumbuiza na kuwaburudisha washiriki wa kongamano la vijana na uchaguzi wa Amani ambalo limefanyika tarehe 02/09/2015 ukumbi wa salama Hall hoteli ya Bwawani Malindi Mjini Zanzibar. Kongamano hilo lilikuwa na ujumbe unaosomeka “PIGA KURA KWA AMANI UPATE MAENDELEO NCHINI”.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.