Habari za Punde

NAIBU WAZIRI WA HABARI....

 Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura katikati akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Assah Mwambene wa kwanza kulia ya jinsi ya kutunza picha za matukio mbalimbali wakati alipofanya ziara Idarani hapo leo, kushoto ni Afisa Habari Mkuu Anna Itenda
 Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura katikati akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Assah Mwambene wa kwanza kulia ya jinsi ya kutunza picha za matukio mbalimbali wakati alipofanya ziara Idara hapo leo, kushoto ni Afisa Habari Mkuu Anna Itenda
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura katikati akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Assah Mwambene wa kwanza kulia ya jinsi ya kutunza picha za matukio mbalimbali wakati alipofanya ziara Idarani hapo leo
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh.
Anastazia Wambura kulia akimkabidhiwa moja ya vipeperushi 
vinavyotolewa na Bodi ya Filamu Tanzania ambavyo vina lengo vya kuwaelimisha wasanii, anayemkabidhi ni Katibu wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi Joyce Fissoo
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura kulia akipata maelezo kutoka kwa Katibu wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi Joyce Fissoo juu ya utendaji kazi wa 
Bodi Hiyo wakati Mh. Waziri alipofanya ziara katika Bodi hiyo leo 
jijini Dar es Salaam
Katibu wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo kulia akimuonyesha takwimu mbalimbali za sekta ya filamu Mh. Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura zinazohusu sekta ya filamu wakati wa ziara aliyoifanya Mh. Naibu Waziri katika bodi hiyo. (picha na Benjamini Sawe-WHSUM).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.