Habari za Punde

Zoezi la Ufungaji wa Taa Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba Linaendelea kwa Kasi.

Uwanja wa ndege wa Pemba ni moja kati ya matunda makuu ya Mapinduzi Zanzibar ya mwaka 1964, ambapo uwanja huo kwa sasa umeshakamilika ufungaji wa taa maalumu, ambazo zitaruhusu ndege kutua na kuruka wakati wowote
Genereta  ambalo litatumiwa na Mamlaka ya Uwanja wa ndege kisiwani Pemba kwa ajili ya taa, ambazo zimeshafungwa uwanjani hapo, ambapo sasa itaruhusu ndege kutua na kuruka wakati wowote
Mafundi ambao walikuwa wanafunga taa kwenye uwanja wa ndege wa Pemba, wakiangalia Genereta ambalo tayari limeshafungwa kwa ajili ya matumizi ya taa zilizopo uwanjani hapo. 
Moja kati ya taa zaidi ya 150 zilizofungwa uwanja wa ndege wa Pemba, ambapo tayari zoezi hilo limeshakamilika na juzi zilifanyiwa majaribio uwanjani hapo.
Mafundi wakiwa katika harakati za mwisho za kukamilisha zoezi la ufungaji wa taa wiki iliopita, mbapo taarifa za hivi karibuni zimeeleza kwamba zoezi hilo limeshakamilika katika uwanja wa ndege wa Pemba
Moja kati ya taa zaidi ya 150 zilizofungwa uwanja wa ndege wa Pemba, ambapo tayari zoezi hilo limeshakamilika na juzi zilifanyiwa majaribio uwanjani hapo, (
Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.