Na kusema wagombea watakuwa walewale waliogombea kwa Nafasi ya Urais wa Zanzibar, Wawakilishi na Madiwani. Akitangaza taarifa hiyo leo huko Afisini kwake Maisara Zanzibar.
Uchumi : Gavana Tutuba Ahimiza Matumizi zaidi ya Rasilimali za Ndani ya
Ukanda wa Afrika Mashariki (EAC)
-
Benki Kuu katika ukanda wa Afrika Mashariki (EAC) zimehimizwa kuweka
kipaumbele katika kutumia rasilimali zao kwa ajili ya maendeleo yao, na
kupunguza ut...
11 hours ago
sasa kwa wale walonukuliwa wakisema hawana imani na tume ya jecha itakuwaje?
ReplyDeleteUchaguzi gani tena huo jamani mbona mnatuumiza vichwa wananchi?sisi tumesha kubali kuwa huku kwetu hakuna tatizo tusubiri 2020 au mpaka tuuwane ndio tutatulia.
ReplyDeletemnazi mmoja.
Mimi naona CUF wastand na msimamo wao bcoz hata wakiwaskiliza ccm wakienda kupiga kura at the end of the day mshindi ashajulikana His Majesty Sheni. Bora wanachama wa CUF wasende kupiga kura siku iyo ya March 20 wende na pirika zao za kutafuta maisha kama kawaida wasije kuumia tena kama hio miaka 25 ilopita. Wajinga hawa wamekusudia kuumiza watu na kuwauwa kisaikolojia.
ReplyDelete