SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar inapaswa kutafuta
sehemu maalumu ya kuhifadhi magari ya zamani, ambayo yalitembea kisiwani Pemba
katika miaka ya 1970, gari hizo zinaweza kuwa moja ya vivutio vikubwa vya
utalii, ni moja ya daladala za kisiwani Pemba ambazo zinaweza kuwa historia
kubwa kwa vizazi vijavyo, pichani gari aina ya daladala za mbavu za mbwa,
ambalo kwa sasa limekufa kabisa.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
Rais Samia Suluhu Hassan atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari (Honoris
Causa) ya Uchumi na Chuo Kikuu cha Ankara nchini Uturuki
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari (Honoris Causa) ya Uchumi kutoka
kwa Mkuu wa ...
12 minutes ago
Inashindwa kuhifadhi majengo na maeneo mengine ya historian, serikali itaweza kweli kuhifadhi hizo scrappers.
ReplyDeleteInashindwa kuhifadhi majengo na maeneo mengine ya historia, serikali itaweza kweli kuhifadhi hizo scrappers.
ReplyDelete