Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein Azinduza Sherehe za Miaka 39 ya CCM Zanzibar.

Vijana wa Halaiki wakiwa katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar wakiwa katika sherehe za Uzinduzi wa Miaka 39 ya CCM  zilizofanyika Zanzibar. 
Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abdurahaman Omarv Kinana akisalimiana na Viongozi wa CCM Zanzibar alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar kuhudhuria Uzinduzi wa Sherehe za CCM kutimia miaka 39. 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndg Philip Mangula akisalimiana na Viongozi wa CCM Zanzibar alipowasili katika Viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar
Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abdurahaman Kinana akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndg Philip Mangula na kulia Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai 
Viongozi wa CCM wakiwa katika Viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar kuhudhuria Sherehe za Uzinduzi wa CCM Kutimia Miaka 39 uliofanyika katika Viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai alipowasili katika Viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abdurahaman Kinana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Balozi Seif Ali Iddi.wakisalimiana wakati wa Sherehe za Uzinduzi wa Miaka 39 ya CCM yaliofanyika katika viwanja vya CCM Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abdurahaman Kinana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai wakiingia katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar kwa ajili ya uzinduzi wa Sherehe za Miaka 39 ya CCM uliofanyika Zanzibar na kilele cha sherehe hizo kufanyika Mkoani Singida tarehe 6 Febuari 2016.
Vijana wa Halaiki wakimpokea Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, alipowasili katika viwanja hivyo kuhudhuria miaka 39 ya CCM Tangu kuzaliwa kwake. Zanzibar katika viwanja vya Amaan Zanzibar mwaka 1977.
Viongozi wa meza Kuu wakiwa wamesimama wakati wa kuwasili kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein, katika Sherehe hizo Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abdurahaman Kinana wakiwa katika viwanja vya CCM Zanzibar.

Vijana wa Halaiki wakiwa wamebeba Bendera za CCM, ASP na TANU wakati wa Uzinduzi wa Sherehe hizo kwa kuimba wimbo maalumu wa kuinganisha Vyama hivyo na kuzaliwa Chama cha Mapinduzi CCM katika viwanja vya Amaan Zanzibar mwaka 1977. na kutimia miaka 39 kwa kuzaliwa kwake. 
Vijana wa Halaiki wakiimbi Wimbo wa kuunganishwa Vyama wakati wa Uzinduzi wa Sherehe hizo zilizofanyika katika Viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
Vijana wa Halaiki wakionesha Picha ya Muasisi wa ASP na Mapinduzi ya Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume wakati wa Uzinduzi huo katika Viwanja vya CCM Zanzibar.
Vijana wa Halaiki wakionesha Picha ya Marehemu Rashidi Mfaume Kawawa wakati wa Uzinduzi huo wwakiimbi wimbo maalumu wa kuunganisha Vyama vya ASP na TANU. na kuzaliwa CCM katika viwanja vya Amaan Zanzibar mwaka 1977. 
Vijana wa Bendi ya Chipukizi wakiongoza Wimbo Maalum wa Kuungani Vyama wakati wa Halaiki ya Uzinduzi wa Sherehe za Miaka 39 ya kuzaliwa CCM, zilizofanyika Viwanja vya CCM Zanzibar.
Vijana wa Halaiki wakionesha picha ya Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa sherehe hizo za Uzinduzi wa kuzaliwa kwa CCM kutimia miaka 39 uliofanyika katika viwanja vya CCM Zanzibar. 
Vijana wa Halaiki ilioandaliwa kwa ajili ya Uzinduzi wa Sherehe za kuzaliwa kwa CCM Zanzibar wakionesha picha ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, 
Wanachama wa CCM Zanzibar wakishiriki katika uzinduzi wa kuzaliwa kwa CCM katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini Unguja Ndg Yussuf Mohammed akitowa salamu za Wanachama wa CCM wa Mikoa ya Zanzibar wakati wa uzinduzi huo.uliofanyika katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai akizungumza na Wananchi na Wana CCM katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar wakati wa Uzinduzi wa Sherehe za miaka 39 ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi. 

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Wananchi na Wana CCM wa Zanzibar  wakati wa sherehe za Uzinduzi wa kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi zilizofanyika katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abdurahaman Omar Kinana akizungumza na WanaCCM katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar wakati wa Uzinduzi wa Sherehe za CCM kutimia miaka 39 tangu kuzaliwa kwake katika viwanja vya Amaan Zanzibar mwaka 1977. 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Tanzania Bara Ndg Philip Mangula akizungumza na WanaCCM Zanzibar na Wananchi katika hafla ya uzinduzi wa sherehe za kuzaliwa kwa CCM kutimia miaka 39. uliofanyika katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi na Wana CCM waliohudhuria uzinduzi wa sherehe za uzinduzi wa CCM kutimia miaka 39 ya kuzaliwa kwa Chama hicho baada ya kuunganisha Vyama vya ASP na TANU katika viwanja vya Amaan Zanzibar  5,2. 1977.
Wanachama wa CCM Zanzibar wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein, wakati akiwahutubia katika Viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar. katika uzinduzi wa sherehe hizo za kutimia miaka 39 ya CCM.
Wanachama wa CCM Zanzibar wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein, wakati akiwahutubia katika Viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar. katika uzinduzi wa sherehe hizo za kutimia miaka 39 ya CCM.
Wanachama wa CCM wakiwa katika Viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein, akiwahutubia.
Viongozi wa CCM wakifuatilia hutuba ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein, wakati wa Uzinduzi wa sherehe za miaka 39 ya CCM katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein, akisisitiza jambo wakati akiwahutubia Wananchi wa Zanzibar na Wana CCM katika sherehe za kuzaliwa kwa CCM kwa kutimia miaka 39 ya kuzaliwa kwake.baada ya kuunganishwa kwa Vyama vya ASP na TANU na kuzaliwa Chama cha Mapinduzi katika viwanja vya Amaan Zanzibar 5.2.1977.
Wanachama wa CCM  wakifuatilia hutuba ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein, katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
Maalim asikisoma dua baada ya kumalizika kwa hafla ya Uzinduzi wa sherehe za kutimia miaka 39 ya CCM katika Viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.


Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein akizungumza na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Balozi Ali Karume wakati wa uzinduzi huo. 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akiagana na Wanachama wa CCM baada ya kumalizika kwa sherehe za uzinduzi wa miaka 39 ya CCM katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar 
Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abdurahaman Omar Kinana, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe Mohammed Aboud Mohammed na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM  Mhe Haji Omar Kheri wakizungumza na kubadilishana mawazo baada ya kumalizika kwa sherehe za uzinduzi wa kuzaliwa kwa CCM kutimia miaka 39 uliofanyika katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndg Philip Mangula Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Ndg Yussuf Mohammed, wakizungumza baada ya Uzinduzi huo uliuofanyika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar. 
Viongozi wa CCM Zanzibar wakibadilishama mawazo baada ya kumalizika kwa Uzinduzi wa Sherehe za kutimia miaka 39 ya CCM zilizofanyika katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.