Habari za Punde

Makamu wa Rais Ashiriki Kuuaga Mwili wa Marehemu Leticia Nyerere leo Dar.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitia saini kitabu cha kumbukumbu kufuatia kifo cha aliyekua Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Marehemu Leticia Nyerere alifariki mwishoni mwa wiki Nchini Marekani alikokuwa akitibiwa, wakati Makamu wa Rais alipofika Nyumbani kwa Marehemu Msasani Dar es salaam
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Makamu wa Rais mstaafu Dkt. Mohamed Gharib Bilal walipokutana Msasani Dar es salaam leo Januari 20, 2016 wakati wa kuaga Mwili wa  aliyekua Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Marehemu Leticia Nyerere alifariki mwishoni mwa wiki Nchini Marekani alikokuwa akitibiwa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katikati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli kulia na Rais mstaafu Dkt. Jakaya M Kikwete, wakizungumza walipokutana leo Januari 20, 2016  Msasani Dar es salaam kwenye shuhuli  ya kuaga Mwili wa  aliyekua Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Marehemu Leticia Nyerere alifariki mwishoni mwa wiki Nchini Marekani alikokuwa akitibiwa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitoa heshima za mwisho leo Januar 20,2016 wakati wa Mwili wa  aliyekua Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Marehemu Leticia Nyerere aliyefariki mwishoni mwa wiki Nchini Marekani alikokuwa akitibiwa. (Picha na OMR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.