Mkurugenzi wa Mipango miji na Vijiji Zanzibar Dkt. Mohammed Juma akizungumza wakati wa warsha ya kuandaa utaratibu wa kuanzisha kituo cha Mtandao wakati wa warsha hiyo.Amefahamisha kuwa kutokana na kuwepo kwa Vyanzo vingi vya Taarifa zinazohusu Maeneo ya Zanzibar kunapelekea baadhi ya Taarifa hizo kutokuwa sahihi na kupelekea mkanyiko katika jamii.
Mwezeshaji wa mafunzo hayo kutoka Taasisi ya Mazingira ya Finland Bi Riihz Teinirants Akiwasilisha Mada yake na kuwataka walioshiriki wa mafunzo hayo wanajukumu la kuwafahamisha wenzao ili kutimiza lengo lililokusudiwa.
No comments:
Post a Comment