Habari za Punde

Maofisa Ushirika Wapigwa Msasa Kuwajengea Uwezo Kisiwani Pemba.

Naibu Katibu mkuu  Wizara ya Uwezeshaji , Ustawi wa Jamii, Vijana Maendeleo ya Wanawake na Watoto Zanzibar, Hassan Khatib Hassan,akisisitiza jambo katika Warsha ya kwajengea uwezo maafisa Ushirika
Kisiwani Pemba.

Baadhi ya Washiriki wa Warsha ya kuwajengea Uwezo maafisa Ushirika Pemba, wakisikiliza kwa makini madada zilizotolewa na wakufunzi.
Picha na Bakar Mussa-Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.