Habari za Punde

Takukuru Imewapandisha Kortini Wabunge Hawa Leo

Kutoka kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Mh. Kangi Lugola, Mbunge wa Mvomero Mh. Sadiq Murad pamoja na Mbunge wa Lupa Mh. Victor Mwambalaswa.
Wakijadiliana jambo

Dar es Salaam


Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), leo imewaburuza kwenye Mahakama ya Kisutu jijini Dar, wabunge wa 3 wa Kamati za Kudumu za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaotuhumiwa kwa rushwa.Wabunge hao ni Mbunge wa jimbo la Mwibara, Mh. Kangi Lugola, Mbunge wa Mvomero Mh. Sadiq Murad pamoja na Mbunge wa Mh.Victor Mwambalaswa.


Taarifa zaidi za tukio hilo zitawajia kadri tutakavyozipata.

GPL

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.