MATANGAZO MADOGO MADOGO

Sunday, April 10, 2016

Askari wa Kikosi cha Zimamoto Zanzibar Wakiwa katika Jitihada za Kuzima Moto katika Moja ya Transfoma ya ZECO rahaleo.

 Askari wa Kikosi cha Zimamoto Zanzibar wakiwa katika jitihada za kuudhibiti na kuuzima Moto uliosababishwa na hitilafu ya Umeme katika moja ya Transfoma ya Shirika la Umeme Zanzibar katika eneo la Kariakoo na kufanikiwa kuuzima moto huo bila ya kuleta madhara kwa wananchi wa eneo hilo. na kusababisha hasara kwa shirika la ZECO.