Sunday, April 10, 2016

Askari wa Usalama Barabarani Akiongoza Magari

 Askari wa Usalama Barabarani Mjini Zanzibar akiongoza magari katika makutano ya barabara ya Malindi na Darajani barabara hiyo huzidiwa na magari na kusababisha msongomano wa magari na kufanya msongamano huo kufikia hadi marikiti kuu ya darajani wakati wa mchana.