Habari za Punde

Dk Shein afanya uteuzi wa viongozi katika taasisi za Serikali

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dkt Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi katika taasisi mbali mbali za serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo :-

Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Umma Bw. Asaa Ahmad Rashid 
Katibu wa Baraza la WAWAKILISHI bibi Raya Issa Msellem
Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. Mzee Ali Haji
Mhasibu Mkuu wa Serikali Bi Mwanahija Almasi  Ali
Uteuzi huo unaanzia leo tarehe 28 Aprili 2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.