MATANGAZO MADOGO MADOGO

Friday, April 8, 2016

Sehemu ya kufanyia Tawaaf ya muda Msikiti wa Makkah yaanza kubomolewaHatua ya kwanza ya kubomoa eneo la kufanya Tawaaf lililojengwa kwa muda imeanza ndani ya Masjid Al Haraam, Makkah, Saudi Arabia. 

Kazi hii inatarajiwa kumalizika Mei 25 kabla ya kuanza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhaan.