Habari za Punde

Tigo waadhimisha siku ya Karume day na wateja wake


 Kamishna Msaidizi wa jeshi la polisi Tanzania Mkadam Khamis Mkadam,ambaye ni  Kamanda wa Polisi mkoa wa mjini Magharibi, Unguja, akimkabidhi Bi.Fauzia Mohamed Hassan mkaazi wa Fuoni zawadi kutoka Tigo katika maadhimisho ya Karume day, katika ofisi za Tigo Unguja, Zanzibar.

 Kamishna Msaidizi wa jeshi la polisi Tanzania,  Mkadam Khamis Mkadam, Kamanda wa Polisi mkoa wa mjini Magharibi, Unguja,akimkabidhi Bwana Nadim Ibrahim mkaazi wa Malindi zawadi kutoka Tigo katika maadhimisho ya Karume day, katika ofisi za Tigo Unguja, Zanzibar.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.