Tuesday, May 3, 2016

Wafanyakazi wa Baraza la Manispa Zanzibar Wazindua Zoezi la Upandaji wa Miti Zanzibar

Wafanyakazi wa Baraza la Manispa Zanzibar wazindua Kampeni ya Upandaji wa Miti katika maeneo ya Manispa yao katika eneo la barabara ya migombani, zoezi hilo la upandaji wa Miti limeongozwa na Mkurugenzi wa Manispa Zanzibar.