MATANGAZO MADOGO MADOGO

Tuesday, May 31, 2016

Waziri wa Habari Zanzibar akutana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Huwaei kanda ya Zanzibar

Waziri wa habari kiwa katika mazungumzo na mkurugenzi wa kampuni ya HUWAEI kanda ya Zanzibar Bwana. Peter Jiang juu kujitambulisha kwake na  azma ya kampuni hiyo kutaka kuisaidi Zanzibar katika sekta ya habari, mazungumzo hayo yalifanyika tarehe 26/5/2016 ofisini kwake
Waziri wa habari akisalimiana na mkurugenzi wa kampuni ya HUWAEI kanda ya Zanzibar Bwana. Peter Jiang juu kujitambulisha kwake na  azma ya kampuni hiyo kutaka kuisaidi Zanzibar katika sekta ya habari, mazungumzo hayo yalifanyika tarehe 26/5/2016 ofisini kwake