Habari za Punde

Waziri wa Habari azindua Baraza la Vijana la shehia zinaopakana na Shehia ya Amani

 Waziri wa Habari na Utamaduni, Vijana na Michezo Zanzibar  (wa pili kulia) aliposhiriki uzinduzi wa Baraza la Vijana la shehia tatu zilizopakana na Shehia ya Amani. Uzinduzi huu umefanyika tarehe 29/05/2016 katika skuli ya Nyerere
  Kikundi cha young unit art group cha Kilimahewa Bondeni kikionyesha mchezo wa uhamasishaji wa kujiunga na mabaraza la vijana siku ya zinduzi wa Baraza la Vijana la shehia tatu zilizopakana na Shehia ya Amani. Uzinduzi huu umefanyika tarehe 29/05/2016 katika skuli ya Nyerere

Waziri wa Habari na Utamaduni, Vijana na Michezo Zanzibar  (wa pili kulia) alipo kuwa akizungumza katika uzinduzi wa Baraza la Vijana la shehia tatu zilizopakana na Shehia ya Amani. Uzinduzi huu umefanyika tarehe 29/05/2016 katika skuli ya Nyerere

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.