Habari za Punde

Ziara ya Rais wa Zanzibar Dk Shein Micheweni Pemba.

Baadhi ya WanaCCM wakiteremka katika gari walipowasili katika viwanja vya Skuli ya Kiislamu ya Kiuyu Wilaya ya Micheweni Mkoa wa kaskazini Pemba wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe,Dkt.Ali Mohamed Shein akiwa katika ziara yake kisiwani Pemba.
Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Wete Ndg.Abdrahmani Makame Shehe akisoma risala ya Wananchi wa Wilaya hiyo wakati ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe,Dkt.Ali Mohamed Shein alipozungumza na Wanachama wa CCM Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba,kuwapongeza kutokana na ushindi katika uchaguzi wa marudio wa mwezi machi mwaka huu. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe,Dkt.Ali Mohamed Shein akipokea risala ya Wilaya kutoka kwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Wete Abrahmani Makame Shehe katika mkutano wa Viongozi wa Chama Wilaya ya Wete uliofanyika leo katika ukumbi wa skuli ya Kiislamu Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Wete  Bw.Kombo Hamadi Yussuf alipokuwa akiwasalimia Viongozi wa CCM wa Mashina,Matawi na Maskani wa Wilaya ya Wete wakati wa Mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe,Dkt.Ali Mohamed Shein alipowashukuru wana CCM wa Wilaya hiyo kwa ushindi katika uchaguzi wa marudio wa Mwezi Machi mwaka huu uliofanyika leo katika ukumbi wa Skuli ya Kiislamu Wilaya ya Micheweni Pemba
Katibu wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kasakzini Pemba Khadija Nassor Gulam alipokuwa akizungumza machache na kumkaribisha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba Mzee Mberwa wakati wa Mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe,Dkt.Ali Mohamed Shein alipowashukuru wana CCM wa wilaya hiyo kwa ushindi katika uchaguzi wa marudio wa Mwezi Machi mwaka huu uliofanyika leo katika ukumbi wa Skuli ya Kiislamu Wilaya ya Micheweni
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein alipokuwa akiwasalimia Viongozi wa CCM wa Mashina,Matawi na Maskani wa Wilaya ya Wete  walipohudhuria katika mkutano wa kuwashukuru na kuwapongeza Viongozi hao uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe,Dkt.Ali Mohamed Shein leo katika ukumbi wa Skuli ya Kiislamu ya kiuyu Wilaya ya michweani Mkoa wa Kaskazini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe,Dkt.Ali Mohamed Shein (katikati)alipokuwa katika mkutano wa kuwashukuru na kuwapongeza Viongozi wa CCm wilaya ya wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo katika ukumbi wa Skuli ya Kiislamu ya kiuyu Wilaya ya Michweani Mkoa wa Kaskazini Pemba

Viongozi wa Mashina,Wenyeviti na Makatibu wa maskani wakiwa ni Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Wete wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe,Dkt.Ali Mohamed Shein alipozungumza na viongozi hao leo wakati alipofika katika ukumbi wa  Skuli ya Kiislamu ya Kiuyu Wilaya ya Micheweni Mkoa wa kaskazini Pemba  kuwapongeza na kuwashukuru kwa ushindi alioupata katika uchaguzi wa marudio uliofanyika mwezi Machi mwaka huu(Picha na Ikulu)
Tr.30-5-2016

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.