Habari za Punde

Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Akabidhi Vifaa vya Michezo kwa Ajili ya Ligi ya Kombe la Mwakilishi na Mbunge Linazozinduliwa leo Usiku Uwanja wa Mnazi Mmoja Zanzibar.

Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe. Hamad Yussuf Masauni, akimkabidhi Seti ya Jezi Kiongozi wa Timu ya Muembeshauri Ndg. Shaban Ali, katikati Diwani wa Shehei ya Rahaleo Ndg Mbarouk Abdalla Hanga, makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi ya Jimbo la Kikwajuni Unguja.
Mbunge wa Jimbo Kikwajuni Zanzibar Mhe Hamad Yussuf Masauni, akimkabidhi jezi Kiongozi wa Timu ya Miembeni Ndg Yussuf Kenge, kwa ajili ya kushiriki Kombe la Mbunge na Mwakilishi ili kuinua vipaji kwa Vijana wa Jimbo hilo.katikati Diwani wa Shehia ya Rahaleo Ndg Mbarouk Abdalla Hanga.
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar Mhe. Hamad Yussuf Masauni akimkabidhi Seti ya Jezi Saleh Machupa kwa niaba ya Timu ya Muembeladu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.