Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dr.Hamis Kigwangalla ( Mb) akiwa na baadhi ya wajumbe wa Tanzania Dr. Hamis Mwinyimvua, Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais ( Policy &Coordination) na Mhe. Constantine Kanyasu ( Mbunge wa Geita na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ukimwi, katika siku ya kwanza ya ufunguzi wa Mkutano wa ngani ya juu kuhusu Ukimwi ambao umeandaliwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Mkutano huyu umefunguliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon.
Na MwandishiMaalum,
New York.
Mkutano wa Ngazi ya Juu wa Umoja wa Mataifa, kuhusu masuala ya ugonjwa wa Ukimwi umeanza leo (Jumatano) hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa.
Ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania katika Mkutano huu wa siku tatu na ambao umeandaliwa na Baraza Kuu la
Umoja wa Mataifa kwa Kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na Ukimwi (
UNAIDS),unaongozwa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,
Wazee na Watoto Mhe. Dr. Hamis A Kigwangalla (Mb).
Wengine katika ujumbe huo ni Dr.Hamis H. Mwinyimvua Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Policy & Coordination),
Mhe. Constantine John Kinyasu. Mbunge wa Geita Mjini na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya
Bunge ya Ukimwi,Dr.Fatma Mrisho Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS na wataalamu mbalimbali.
Akifunguamkutanohuo,KatibuMkuuwaUmojawaMataifa, Ban Ki
Moon
amesemakunahatuakubwazimefikiwakatikakukabiliananamaambukiziyavirusivyaukimwinaugonjwawaukimwi.
Ameyatajabaadhiyamafanikiohayonipamojanaongeko la
idadiyawatuwanapatahudumazadawazakuzuiamakaliyaukimwi.
OngezekohilokwamijibuwaKatibuMkuulimechangiwanaupatikanajiwadawazagharamanafuu.
“Mpakaleohii, zaidiyawatu 17
milioniwanapatiwahudumahiyonahivyokuokoamaishayamailioniyawatunawakatihuohuokuokoamabilioniyafedha.
Mafanikiomengineyametajwakuwanipamojanakupunguawamaambukizokwaasilimia
35 tangumwaka 2000, kupungukwaasilimia
43 yavifovinavyohusiananaugonjwawaukimwitangumwaka 2003.
“Ninayofurahakwambamaambukizimpyayavirusivinavyosababishaukimwikwawatotoyamepunguakwaasilimia
56 katikakipindi cha miakakuminatanoiliyopita. Ili halinchinne, cuba,
Thailand, Armeniana Belarus
hakunakabisamaamkizokwawatoto. Ni
matumaniyangututakifiamahalipakuwanasifuriyamaambukikwawatoto” akasisitiza Ban
Ki Moon.
Pamojanamafanikiohayoyote,
KatibuMkuuwaUmojawaMataifa,
ametahadharishakwambakamajumuiyayakimataifahaitatumiamafanikohayokuongezakasizaidinakushughulikiatatizo
la
ukimwikwanguvuzaidikunauwezekanomkubwakwambaugonjwahuoukarudikwakasikubwazaidikulivyoilivyosasanahususanikatikanchizenyeuchumimdogonawakati.
ViongoziwenginewaliozungumzawakatiwaufunguzinipamojanaRaiswaBarazaKuu
la UmojawaMataifa, BwMongesLykketoftnaMkurugenziMkuuwa UNAIDS Michael Sidibe.
Katikasikuhiiya
kwanza yamkutanowakilelekuhusuUkimwi,
wajumbekutokakaribumataifayotedunianiambayoniwanachamawaUmojawaMataifa, walipitishatamko la kisiasakuhusumatokeoyamkutanohuu.
No comments:
Post a Comment