Habari za Punde

Miche ya minazi na mikarafuu yang'olewa Pemba

 Miche ya Mikarafuu ambayo ni mali ya Waziri Asie kuwa na Wizara maalum, Mheshimiwa Said Saud Said, ambayo iling'olewa huko Mgelema Pemba.
 Miche ya Minazi ambayo ni mali ya Mheshimiwa Said Soud Said, ambayo imeng'olewa huko Mgelema Chake Chake Pemba.
 Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Mkoa wa Kusini Pemba , wakishuhudia Micheya Mikarafuu na Minazi ya Mheshimiwa Sais Soud Said, iliong'olewa huko katika Kijiji cha Mgelema Pemba.
Mheshimiwa Said Soud Said, akiangalia Miche ya Mikarafuu yake , iliong'olewa na watu wasiojuilikana huko katika eneo la Mgelema Chake Chake -Pemba.

PICHA NA BAKAR MUSSA-PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.