Habari za Punde

Rais Dkt.Magufuli Asaini Kitabu cha Maombolezo ya Rais wa Saharawi, Akutana na Naibu Waziri Mkuu wa Ubelgiji,Balozi wa Marekani na Kuagana na Balozi wa Italy.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa mambo ya Nje wa Ubelgiji Mhe. Didier Reynders aliyemtembelea Ikulu Dar es salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa mambo ya Nje wa Ubelgiji Mhe. Didier Reynders aliyemtembelea Ikulu Dar es salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Italy nchini Mhe. Luigi Scotto aliyemtembelea na kumuaga baada ya kumaliza muda wale wa kazi  Ikulu Dar es salaam leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitoa pole kwa Balozi wa Jamhuri ya Kiarabu ya kidemokrasia ya Saharawi  nchini Mhe. Brahim Buseif alipokwenda ubalozini hapo kutoa pole na kusaini Kitabu cha Maombolezo ya kifo cha Rais wa Saharawi Mhe. Mohamed Abdelaziz Mikocheni jijini Dar es salaam leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na kufanya 
mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini  Mhe. Mark Childress aliyemtembelea   Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na kufanya 
mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini  Mhe. Mark Childress aliyemtembelea   Ikulu jijini Dar es salaam leo.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.