Habari za Punde

Semina juu ya utowaji Elimu ya Mtangamano wa Afrika Mashariki na Diaspora yafanyika Pemba

Ofisa mdhamini Afisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Bijokha Khamis Makame akifunguwa Semina juu ya utowaji Elimu ya Mtangamano wa Afrika Mashariki na Diaspora huko katika Skuli ya Madungu Sekondari Pemba.
Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na uratibu wa Wazanzibar waishio nje ya Nchi , Adila Hilali Vuai , akieleza lengo la Semina hiyo kwa Watendaji mbali mbali wa Serikali na Tasisi za Umma wakiwemo na Wajasiriamali huko Madungu Sekondari Pemba.

Washiriki wa Semina ya Diaspora Kisiwani Pemba, wakiwa katika picha ya pamoja huko katika Skuli ya Madungu Sekondari Pemba.
Picha na Bakar Musssa-Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.