Habari za Punde

SKULI mpya ya maandalizi ya Junguni , Pemba karibuni kumalizika ujenzi wake

 SKULI mpya ya maandalizi ya Junguni wilaya ya Wete Pemba, yenye vyumba vine vya kusomea, iliojengwa na TASAF III kwa gharama ya shilingi milioni 61, pamoja na fanicha zake, ikiwa tayari kwa ajili ya kusomewa na wanafunzi, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

 MAFUNDI wa  kuchonga wakiwa kazini kumalizia  utengenezaji milango na madirisha, kwenye skuli mpya ya Maandalizi ya Junguni wilaya ya Wete, ambayo imejengwa na TASAF III, kwa gharama ya shilingi milion 61 pamoja na fanicha zake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MAFUNDI wa rangi na wakiwa kazini kumalizia upakaji rangi , kwenye skuli mpya ya Maandalizi ya Junguni wilaya ya Wete, ambayo imejengwa na TASAF III, kwa gharama ya shilingi milion 61 pamoja na fanicha zake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.