NYUMBA za maendeleo
za Mtemani Wete Pemba, zikiwa dhoful-hali, zikihitajia mtangenezo makubwa, ambapo
tokea zilizojengwa mwaka 1972 hazijawahi kufanyia, ingawa hadi sasa pamoja na
uchakavu huo, wananchi wanaendelea kuishi, (Picha
na Haji Nassor, Pemba).

’NAKUPITA’, watoto
wanaoishi katika nyumba za maendeleo Mtemani Wete Pemba, wakipandisha ngazi kwa
mtindo wa kukimbizana, jambo ambalo linaweza kusababisha athari kwao, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment