Wanajumuiya ya Kuhifadhi Mazingira wa Jumuiya ya Jumuiko
la Mabadiliko ya Taiba ya Nchi Zanzibar (ZACCA), wakipanda miti kwa
kushirikiana na wananchi wa Vumawimbi Makangale Wilaya ya Micheweni, ikiwa ni
zoezi la uhamasishaji upandaji wa miti kwa lengo la kuhifadhi mazingira kisiwani
Pemba, ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi
Miti aina ya mikoko
au mikandaa iliyopandwa katika eneo la Machopezeni Vumawimbi Makangale Wilaya
ya Micheweni Kisiwani Pemba, kwa lengo la kuhifadhi mazingira na kukabiliana na
mabadiliko ya tabia ya nchi
Afisa Mipando wa Jumuiya ya Jumuiko la Mabadiliko ya Taiba ya
Nchi Zanzibar (ZACCA)Mustafa Imani, akitoa taaluma ya upandaji wa miti aina ya
mikoko kwa wanavikundi wa Shumba Mjini Wilaya ya Micheweni Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment