Habari za Punde

Mwandishi wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Atunukiwa Phd.

Mwandishi wa Habari wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Juma Mohammed Salum akiwa na Joho wakati wa mahafali ya Chuo Kikuu cha Shangai China baada ya kumaliza masomo yake ya PhD,  na kutunukiwa Cheti jana na Chuo Kikuu cha Shanghai International Studies University katika mahafali yaliyofanyika Chuoni hapo. 
Juma Mohammed Salum wa Idara ya Habari (MAELEZO Zanzibar) akiwa na wahitimu wenzake wa PhD ambao wametunukiwa vyeti vyao jana na Chuo Kikuu cha Shanghai International Studies University katika mahafali yaliyofanyika Chuoni hapo. 


1 comment:

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.