Habari za Punde

Kijiji cha Jambiani Wafanya Usafi wa Mazingira

Ndugu Yussuf Mwalimu wapili kutoka kushoto, ambaye ni mwenyekiti wa Jumuiya ya Tuishi akiwafahamisha wanafunzi kutoka chuo kikuu cha Colorado nchini Marekani waliotembelea kijiji cha Jambiani kujionea utunzaji wa usafi.

Kijiji cha Jambiani kimejipanga vizuri katika suala zima la kuweka usafi kupitia jumuiya itwayo Tuishi ambayo inashirikiana na kampuni ya ZANREC. Hii ni sehemu ambayo inatupwa taka (dumpsite)  (Picha na Mohamed Muombwa )
Mifuko mikubwa ya taka ikisubiri kuchukuliwa.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.